Matiang’i aapa kutoruhusu maandamano ya NASA katikati ya miji

Kaimu waziri wa usalama Dkt. Fred Matiang’i ameapa kuwachukulia viongozi wa NASA hatua kwa kupeleka maandamano ndani ya miji siku moja baada ya kupiga marufuku maandamano katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu. Matiang’i anasema shughuli ya kujumuisha hasara iliyoshuhudiwa jijini Nairobi imeanza na kwamba wana-NASA watafikishwa mahakamani kugharamia hasara hayo. Waziri amesema haya katika mahojiano na runinga ya Citizen.

Tags:

Fred Matiang'i NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories