Matiang’i ahakikisha kuwepo kwa usalama wakati wa mtihina


Waziri wa elimu Daktari Fred Matiang’i ametangaza kwamba mikakati na mipangilio yote inayohitajika katika kuandaa mitihani ya kitaifa ya KCPE na KCSE kwa njia shwari tayari imekamilika. Matiang’i ameweka wazi kwamba kalenda ya mitihani hiyo itaendelea kama ilivyopangwa licha yake kufanyika kipindi kura za urais zikifanyika.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author