Matiang’i amsuta Sossion

Waziri wa elimu Fred Matiang’i amepuuzilia mbali matamashi yalitolewa na katibu mkuu wa chama cha waalimu nchini Knut Wilson Sossion.

Hayo yamesemwa katika hafla ya kutoa ufadhili kwa wanafunzi elfu kumi na saba waliofaulu vyema kupitia ushirikiano wa benki ya Equity ya Wings to Fly.

Matiang’i ametangaza kuwa wanafunzi ambao hawakufuzu vyema watapata nafasi katika vyuo anwai.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories