Matiang’i aongoza ujumbe wa Wakisii kukutana na rais


Rais Uhuru Keyatta amepuuzilia mbali kauli ya muungano wa upinzani – NASA – kuwa hawatashiriki katika uchaguzi wa Oktoba kumi na saba. Rais amewataka wana-Nasa kuacha kutoa vitisho vya kila aina na kusema kuwa yeye yuko tayari kumenyana na mgombea wa Nasa Raila Odinga mwezi ujao. Uhuru anasema iwapo hawataki uchaguzi, basi hakuna haja ya kuchelewesha kuapishwa kwake kama rais.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Faiza Wanjiru
More by this author