Matiang’i asisitiza serikali itasambaza vitabu

Uchapishaji wa takriban vitabu milioni sita vinavyolengwa kusambazwa kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza hapo mwakani tayari umeshika kasi. Mashirika kadhaa ya uchapishaji yamejukumiwa kutekeleza shughuli hiyo huku waziri matiang’i akishikilia msimamo kwamba ni serikali pekee itakayosambaza vitabu vya kiada.

Tags:

Matiang’i

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories