Matiangi atangaza kesho kuwa siku ya mapumziko

Serikali imetangaza jumatano na Alhamisi kuwa siku kuu za kitaifa, kutoa nafasi kwa wananchi kufika katika maeneo watakapopigia kura siku ya alhamisi…
Hata hivyo, taarifa hii iliyochapishwa leo katika gazeti rasmi la serikali, ilionekana kutopokelewa kwa kishindo kama ilivyotarajiwa katika vituo vya basi kuashiria wananchi wanaosafiri kwa shughuli ya uchaguzi.
Hata hivyo viongozi wa kaunti ya muranga wameapa kufadhili usafiri wa abiria wote wanaoelekea katika kaunti hiyo kuanzia kesho kufanikisha uchaguzi wa marudio.

Tags:

Matiang’i sikuu kuu

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories