Matiang’i awahakikishia watahiniwa wa KCPE na KCSE
Published on: November 17, 2016 09:16 (EAT)
Ndio mwanzo kazi inaanza, mtazamaji haya ni kulingana na waziri wa elimu fred matiang’i aliyedokeza kuwa jinsi mitihani ilivyofanyika kwa ulinzi mkali… ndivyo itakavyokuwa wakati wa kusahihisha mitihani hiyo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment