Matiang’i kuongoza shughuli ya kuchagua wanafunzi watakaoingia sekondari


Uzinduzi wa shughuli nzima ya uteuzi wa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani utafanyika hapo kesho. Shughuli hiyo itaongozwa na waziri wa elimu Daktari Fred Matiang’i katika taasisi ya kubuni mitaala nchini KICD.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author