Matiang’i: Nitashirikiana na IEBC kukagua vyeti vya elimu vya wanasiasa


Kwa mara ya kwanza humu nchini mgombea anayenuia kuwania kiti chochote cha kisiasa anapaswa kupitia mchujo wa vyeti vyake vya masomo ambapo vitapigwa msasa na idara zilizoko katika wizara ya elimu. Akitangaza hatua hiyo waziri wa elimu Fred Matiang’i amesema kuwa atashirikiana na IEBC kufanikisha ukaguzi huo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Citizen Team
More by this author