Matibabu ya saratani yatapatikana nchini

Zaidi ya watu 40, 000 huambukizwa ugonjwa wa saratani kila mwaka na nusu yao hupoteza maisha kutokana na kushindwa kumudu gharama ya matibabu au uhaba wa vituo vya matibabu vyenye suhula za kisasa.
Kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Kadzo Gunga maeneo ya Mlima Kenya ndiyo huripoti visa vingi zaidi.

Tags:

cancer MP Shah saratani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories