Matokeo yaonyesha uhalisia wa mtihani wa KCSE mwaka huu

Mtihani wa kitaifa wa mwaka huu umefanywa chini ya ulinzi mkali kinyume na ilivyokuwa miaka ya huko nyuma.
Wizara ya elimu ilihakikisha kuwa wizi wa mitihani umezikwa katika kaburi la sahau kwani baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakitumia kwa mfano mtandao wa intaneti kupata majibu ya baadhi ya maswali kabla ya mtihani kufanyika. Stephen Letoo na tathmini hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories