Matukio 2016: Gavana Ali Hassan Joho

Safari yake ya kisiasa imeonekana kushika kasi mwaka wa 2016 huku akionyesha ukomavu wa kisiasa, je ana nia ya kupanda daraja zaidi ? Je ana maoni gani kuhusu serikali ya Jubilee? Tunamzungumzia gavana wa Mombasa Ali Hasan Joho aliyehojiwa kwa mapana na marefu na mwanahabari wetu Lulu Hassan na kuandaa makala yafuatayo.

Tags:

Ali Hassan Joho Matukio 2016

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories