Mauaji Ya Kutatanisha

Mauaji Ya Kutatanisha

Alipotea kwao kwa mwezi mmoja…wazazi wake wakatia kila juhudi za kumtafuta na alipopatikana, alikuwa mfu, amezikwa na mumewe katika nyumba yao iliyoko Nyamira. Polisi wakianzisha uchunguzi wao, kijiji kizima cha Isiongo kimeachwa vinywa wazi baada ya tukio hilo la kuogofya huku mshukiwa akizuiliwa. Shisia Wasilwa anatufungulia jamvi la nipashe na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories