Mauaji ya utata


Maafisa wa polisi  huko Gatanga wanamzuia mwanamume mmoja ambaye ni mshukiwa mkuu wa kutekeleza mauaji ya mfanyabiashara maarufu mjini thika , Joyce Wambui Githitu. Jamaa huyo anayefahamika kama morris mutwiri ni mume wa kijakazi wa mwendazake. Makori ongechi anatupasha taarifa hii kwa kina.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author