Mauaji zaidi huko Baringo

Hali ya taharuki ingali imetanda katika eneo la mukutani kaunti ya baringo baada ya kuuawa kwa watu tisa wakiwemo wanawake watano na watoto wanne usiku wa kuamkia leo.

Machafuko hayo ya hivi punde zaidi yanahofiwa kuwa mashambulizi ya kulipiza kisasi baada ya majambazi kutoka jamii ya wapokot kudaiwa kushambulia kijiji hicho chenye watu wa jamii ya ilchamus.

Na kama anavyoarifu hassan mugambi hali inazidi kuwa tete licha ya onyo la rais kenyatta kwa viongozi wa eneo hilo kususia uchochezi wa jamii mbali mbali.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories