Mawakili Wakorofi

Mawakili Wakorofi

Mkutano wa chama cha mawakili nchini Jumamosi ulitibuka baada ya baadhi ya wanasheria kutoridhishwa na jinsi mwenyekiti wa LSK Eric Mutua alivyoendesha kikao hicho. Ilimlazimu Mutua kuondoka katika kikao hicho kilichofuatwa na kikao kingine kilichoongozwa na mawakili wenye ghadhabu wakiafikia maamuzi kadhaa. Hata hivyo mutua amedai kuwa vurugu za leo zimefadhiliwa na waziri mmoja katika afisi ya rais, anayenuia kusambaratisha juhudi za LSK za kukabili ufisadi. Mwanahabari wetu Sam Gituku aalihudhuria kikao hicho na hii hapa taarifa yake…

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories