Mawaziri 5 ,Makatibu 4,Magavana 7 Kushtakiwa

Mawaziri 5 ,Makatibu 4,Magavana 7 Kushtakiwa

Mawaziri watano, makatibu wa wizara wanne na wabunge 13 huenda wakashtakiwa katika muda wa majuma mawili kuhusiana na tuhuma za ufisadi. Kulingana na tume ya maadili na kupambana na ufisadi, magavana saba na maafisa wakuu kumi na mmoja wa serikali pia heunda wakafikishwa kizimbani katika muda wa siku 14, kujibu mashtaka ya utumizi mbaya wa mamlaka na ubadhirifu wa raslimali za umma. Hata hivyo hatma ya mwenyekiti wa EACC Mumo Matemu na naibu wake Irene Keino  itabainika juma hili bungeni. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories