Mawaziri Matiang’i, Macharia na Balala wazuru JKIA ghafla
Published on: January 10, 2018 08:08 (EAT)
Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang’i, mwenzake wa uchukuzi James Macharia na wa utali Najib Balala, walifanya ziara ya ghafla katika uwanja wa ndege wa kimataifa (JKIA) hii leo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment