Mawaziri Waagiza Uchunguzi Kwa Wafanyikazi Hewa Wa Serikali

Baraza la mawaziri sasa limeagiza uchunguzi wa kina kuhusiana na kashfa ya ulipaji mishahara kwa wafanyikazi wa serikali hewa 12,000. Katika kikao kilichoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta, baraza la mawaziri limezitaka idara husika zichunguze kuhusu uporaji wa mamilioni ya pesa ambazo zimetiwa mfukoni na walaghai waliojifanya watumishi wa umma na kutumia majina ghushi. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories