Mazishi ya Jerusha Wairimu Njenga

Mama Jerusha Wairimu Njenga amezikwa hii leo katika kijiji cha Baricho kaunti ya Kirinyaga.

 

Mama Jerusha aliyekuwa na umri wa miaka 75 amemiminiwa sifa kwa ukarimu wake alipokuwa hai.

 

Marehemu amewaacha watoto sita na wajukuu kadhaa. Alifariki juma lililopita alipokuwa akitibiwa saratani katika hospitali moja nchini india.

Jerusha ni dada yake naibu mwenyekiti wa kampuni ya habari ya Royal Media Services Gathoni Macharia.

 

Mazishi hayo aidha yalihudhuriwa na mwenyekiti wa kampuni ya royal media services sk macharia,na viongozi watajika.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories