Mazishi ya kijana yazuiwa Muranga

Kulizuka kizaazaa huko Gitaro katika kaunti ya Murang’a baada ya jamaa za mvulana mmoja wa umri wa miaka nane kufika nyumbani kwao na kuzuia kuzikwa kwake. Mtoto huyo ambaye hadi kufa kwake alikuwa mwanafunzi wa darasa la pili aliaga dunia hapo jana asubuhi katika kisa kilichoelezewa kuwa cha kutatanisha. Tupate taarifa hiyo na nyingine katika mkusanyiko wa taarifa zetu za kaunti.

Tags:

muranga

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories