Mazungumzo Kati Ya KNUT Na TSC Yakwama

Mazungumzo  kati ya  miungano ya walimu na TSC ya kusuluhisha mzozo uliopo yamegonga mwamaba. Mazungumzo hayo yaliyolenga kujadili matakwa ya walimu ya kutaka kuongezwa mshahara na kupewa marupurupu kama vile ya likizo na majukumu yametibuka baada ya kusemekana kuwa TSC haikutoa pendekezo lolote la kushuhgulikia matakwa hayo. Kwa upande mwingine miungano  ya walimu, KUPPET na KNUT imepinga hatua ya wizara ya elimu ya kutaka kusimamia walimu wakuu wa shule. Victor Wetende anatuarifu zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories