Mazungumzo ya kutafutia mgomo wa madaktari suluhu yaanza


Mazungumzo yanayolenga kutatua mgomo unaoendelea wa madaktari yameanza rasmi hii leo. Mashirika yaliyowakilishwa kwenye kikao cha leo  yakiwa ni chama cha mawakili nchini  LSK pamoja na shirika  la kutetea haki za kibanadamu, KNHCR miongoni mwa washikadau wengine. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Hassan Farah, mazungumzo hayo yameng’oa nanga  siku sita tu kabla ya makataa ya mahakama ya tarehe 23 mwezi huu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Citizen Team
More by this author