Mazungumzo ya kutatua mgomo wa madaktari yanaendelea

Mazungumzo yanayolenga kutatua mgomo unaoendelea wa madaktari yameingia siku yake ya pili hii leo, huku swala la mishahara ya madaktari likiwa ndiyo mada kuu. Mazungumzo yanaogozwa na chama cha mawakili nchini LSK pamoja na tume ya kutetea haki za kibanadamu, KNHCR miongoni mwa washikadau wengine. mwanahabari wetu Hassan Farah amekuwa akifuatilia kikao hicho na kuandaa taarifa ifuatayo.

Tags:

KNCHR LSK mgomo wa madaktari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories