Mazungumzo ya kutatua mgomo wa madaktari yaongezewa muda

Viongozi wa kidini sasa ndio wanaoendesha mkutano wa kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari baada ya mahakama kuwaruhusu siku mbili walizoomba ili kukamilisha mazungumzo ambayo tayari walikuwa wameanzisha. Viongozi hao leo wamekutana na madaktari na kesho watafanya mkutano la tume ya kukadiria mishahara ya umma, tume ya wafanyikazi wa umma, chama cha madaktari na serikali ili kukamilisha mazungumzo hayo. Ripoti yao itawasilishwa mahakamani Jumanne.

Tags:

Mgomo wa madakatari

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories