Mbadi ataka Murkomen na Farouk wahojiwe

Mbunge wa suba aliye pia mwanakamati wa kamati ya bunge kuhusu uhasibu John Mbadi amemwandikia mwenyekiti wa kamati hiyo akitaka seneta wa Elegeyio Marakawet Kipchumba Murkomen na aliyekuwa msaidizi wa naibu rais farouk kibet kufika mbele ya kamati hiyo inayochunguza sakata ya kufujwa kwa mamilioni ya fedha za idara ya huduma kwa vijana wa taifa, NYS.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories