Mbadi: Rais anataka kuhujumu kesi iliyoko mahakamani


Utata unazidi kuzungira mipango ya kufunguliwa rasmi kwa bunge la kumi na mbili Alhamisi ijayo huku muungano wa Nasa ukisisitiza kuwa Rais Kenyatta angesubiri kwanza mahakama kutoa uamuzi wa kesi inayopinga uchaguzi wa urais. Hata hivyo muungano huo umesita kushikilia uamuzi wa kususia kikao hicho na kusema kuwa utatoa mwelekeo baadaye. Mbunge mteule wa garissa mjini aden duale ametaja vitisho hivyo vya nasa kama undumakuwili.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author