Mbio za Ndakaini

Patrick Kipngeno na Brigit Kosgei walionyesha uweledi wao katika awamu ya 13 ya mbio za  Ndakaini half marathon, katika mashindano ya mbio za Kilomita 21. Kipng’eno aligusia kuhusu kuwepo kwake kwa mashindano ya mwaka huu baada ya kufanya vyema kwenye mashindano ya mbio za Kisii.

Tags:

Ndakaini Marathon

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories