Mbogholi ajutia uamuzi wa mahakama kwenye uchaguzi wa 1997

.Jaji wa mahakama kuu Ampraphael Mbogholi Msagha anajutia uamuzi wa mahakama ambao ulimnyang’anya rais mstaafu Mwai Kibaki nafasi ya kupinga uchaguzi wa mwaka 1997 ambapo rais mstaafu Moi alitajwa mshindi. Akihojiwa katika siku ya pili ya shughuli ya kumtafuta jaji mkuu, jaji Msagha alisema kuwa uamuzi huo haukustahili na ulifanywa kulingana na sheria zilizokuwepo wakati huo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories