Mbunge Mohamed Junet atiwa ndani

Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohammed alitiwa nguvuni mapema leo asubuhi katika kaunti ya Homa Bay alipokuwa akielekea Migori kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi wiki mbili zilizopita katika ya kaunti ya homabay.
Mbunge huyo alifikishwa mbele ya mahakama ya kaunti ya Homabay huku akiwakilishwa na wakili wake Ochillo Ayako ambaye vilevile ni mgombezi wa kiti cha ugavana cha Migori. baadaye Junet aliachaliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja pesa taslimu huku kesi yake ikitarajiwa kuskizwa tena tarehe 24 octoba mwaka huu.

Tags:

hate speech Migori County Homa Bay Junet Mohammed chuki

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories