Mbunge wa Nyeri mjini aomba JSC imfute kazi Jaji Maraga


Mbunge wa Nyeri mjini Wambugu Ngunjiri ameiomba tume inayosimamia idara ya mahakama JSC kumchunguza Jaji Mkuu David Maraga kwa lengo la kumwondoa afisini, akisema alivunja sheria katika uamuzi wa kesi dhidi ya matokeo ya urais ambapo alifutilia mbali kuchaguliwa kwa rais Uhuru Kenyatta. Maombi ya Ngunjiri hata hivyo yamekemewa na viongozi kadhaa kutoka Jubilee na NASA huku wale kutoka eneo la kisii chini ya Jubilee wakimtaka Wambugu kuondoa ombi hilo kufikia kesho.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author