Mbunge wa zamani David Manyara akamatwa na kushtakiwa korti ya Nakuru


Mbunge wa Embakassi mashariki Babu Owino ametiwa nguvuni na maafisa wa polisi kujibu maswali kuambatana na madai ya kutoa matamshi ya chuki dhiidi ya Rais Uhuru Kenyatta.

 matamshi ya mbunge huyu katika mkutano wa kisiasa wa muungano wa nasa hiyo jana, yamezusha maandamano katika Kaunti ya Kiambu huku wafuasi wa jubilee wakimtaka kuheshimu Rais.

 

Haya yanajiri huku aliyekuwa mbunge wa nakuru mjini David Manyara akiachiliwa kwa dhmana ya shilingi laki moja baada kufikishwa mahakamani kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi 

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author