Mbwa wamtafuna mjukuu wa marehemu Gachagua


Familia ya marehemu gavana wa Nyeri Nderitu Gachagua inaomboleza kifo cha mjukuu wao aliyeshambuliwa na mbwa akicheza nje ya nyumbani mwao. Mtoto huyo aliaga baada ya kuzidiwa na majeraha aliyoyapa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author