Mchakato wa kumtafuta Jaji Mkuu mpya waendelea

Mtaalamu wa masuala ya katiba wakili Nzamba Kitonga amesifia uzoefu mkubwa wa masuala ya sheria unampa nafasi nzuri ya kuwezesha marekebisho katika idara ya mahakama. Akihojiwa na tume ya huduma za majaji kama mmoja wa wale wanaotafuta wadhifa wa jaji mkuu, kitonga amesema kuwa hakuna haja ya kuifanyia katiba marekebisho muhimu sasa akitaka katiba hiyo ipewe miaka minne zaidi kabla ya kuanza kuifanyia mabadiliko

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories