Mchakato wa kumtafuta naibu jaji mkuu waendelea

Jaji wa mahakama ya rufaa Fatuma Sichale amesema kuwa mawakili wenye uzoefu wa miaka mingi ndio pekee waruhusiwe kuwasilisha kesi za uchaguzi katika mahakama ya juu zaidi. Jaji Sichale ambaye alikuwa akihojiwa na tume ya huduma ya majaji amesema kuwa mawakili waliofuzu majuzi hawaelewi vyema sheria na wanajitafutia tu jina kwenye vyombo vya habari. Jaji wa mahakama kuu Hannah Okwengu kadhalika alihojiw ana tume ya JSC.

Tags:

JSC Fatuma Sichale Hannah Okwengu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories