Mchungaji adaiwa kutwaa ardhi ya shule, Matuga

Hatma ya zaidi ya wanafunzi 180 kutoka jamii maskini na mayatima katika shule msingi ya New Mabriva Home Academy eneo la Tiwi , Matuga kaunti ya Kwale haijulikani baada ya mmoja wachungaji wa kanisa moja kusajili shule hiyo kwa jina lake. Hali ambayo sasa imezua mzozo baina ya viongozi wa kanisa hilo. Mwanahabari Nicky Gitonga na maelezo zaidi………………

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories