Mdahalo wa Urais

Midahalo mitatu itafanyika katika mwezi wa julai ambapo wagombea wa urais na manaibu wao watakutana ana kwa ana na kunadi sera na ruwaza zao kwa taifa. Midahalo miwili itawashirikisha wagombea urais na moja itakuwa ya wanaotafuta wadhifa wa naibu rais. Vyombo vyote vya habari vitapeperusha midahalo hiyo moja kwa moja tarehe 10, 17 na 24 julai na kuwapa wananchi fursa ya kufanya uamuzi kabla ya agosti tarehe nane.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories