Mfanyabiashara auliwa mtaani Tudor, Mombasa


Polisi mjini Mombasa wanawasaka wahalifu waliomuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara mmoja mtaani Tudor usiku wa kuamkia leo na mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini na mitano alijitia kitanzi baada ya kumdunga kisu mpenziwe na kumuua huko molo kaunti ya Nakuru.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author