Mgawanyiko wajitokeza kati ya makundi ya wauguzi

Wasimamizi wa muungano wa wauguzi nchini hii leo walitofautiana peupe na kuzusha vurumai katika mkutano na wanahabari hapa jijini Nairobi. Rabsha hiyo inajiri huku wagonjwa wakiendelea kuhangaika kutokana na mgomo unaoendelea wa wauguzi hao.

Tags:

Seth Panyako Nurses strike wauguzi john bii

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories