Mgogoro wazidi NASA

Kinara mwenza wa mrengo wa NASA Raila Odinga sasa anadai kuwa shirika la ujasusi nchini linahusika katika kuvuruga muungano huo na hata kufadhili watu Fulani kuandaa maandamano wakipinga mpangilio wa urais unaopendekezwa ukionyesha Odinga kuwa mgombea urais. Usemi wa Odinga unajiri wakati ambapo maafisa wakuu wa vyama taznu vya NASA wameanzisha mgogoro kuhusu ukweli wa ripoti inayompendelea Odinga, vyama vya ANC na Ford Kenya vikimsuta katibu mkuu wa odm Agnes Zani.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories