Mgombeaji mwengine apatikana baada ya kutoweka

Siku mbili baada ya kutoweka na kupatikana kwa  mwaniaji wa kiti cha ubunge cha Kabete katika kaunti ya Kiambu maarufu kama Chege Fresh, mwanasiasa mwingine kutoka kaunti hiyo ameripotiwa kutekwa nyara na kisha kupatikana katika eneo la Mlolongo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories