Mgomo baridi wa madaktari na wauguzi waendelea


Baraza la magavana imetaja kuwa iko tayari kutia sahihi mkataba wa kutambuliwa na madaktari kumaanisha kuwa madaktari wote watakuwa chini y amamlakaya kaunti ikilinganishwa na hapo aawali pale wizara ya afya ilishughulikia masilahi yao. Huku haya yakiri wagonjwa katika kaunti tofauti wanazidi kutaabika baada ya madakatari kususia kazi pamoja na wauguzi kwa sababu ya madai ya mishara yao kutolipwa kwa zaidi ya miezi mitano sasa pamoja na upungufu wa idadi ya wauguzi kusaidia majukumu hospitalini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEMRI scientists examine safety of anti-malarial drugs in first trimester of pregnancy

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *