Mgomo wa Madaktari

Muungano wa madaktari,wizara ya afya pamoja na baraza la magavana wanatarajiwa kukutana hapo kesho katika jumba la afya house kuzungumzia mapendekezo  ya madaktari..  Huku hayo yakijiri wagonjwa wako taabani majumbani wasijuwe la kufanya na kilio chao ni kimoja tu ,suluhu ya kudumu ipatikane nao wapate matibabu yanayostahili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories