Mgomo wa madaktari

Na sasa tuangazie mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya 49. Imebainika kuwa huenda ni vita vya ubabe miongono mwa maafisa wa wizara hiyo ambavyo vinalemaza hatua zilizopigwa kumaliza mgomo huo.

Haya yanajiri huku maafisa wa kmpdu wakishikilia kuwa wanasubiri makataa ya mahakama siku ya alhamisi kabla ya kuanza kuhudumia kifungo chao walichopewa kwa kukaidi amri ya mahakama.

Hassan Mugambi anatueleza ni kwanini mgomo huo umeshindwa kutamatishwa licha ya mazungumzo kadhaa kufanyika.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories