Mgomo wa madaktari

Mahakama ya rufaa imeipa chama cha mawakili,  na tume ya kutetea haki za kibinadamu muda wa siku saba kumaliza mazungumzo yanayonuiwa kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya 81 hii leo.

Hii ni baada ya pande hizo kuwasilisha ripoti iliyoonyesha walikofika na mazungumzo hayo.

Haya yanajiri huku serikli ikiendelea kushikilia kuwa mkataba wa maelewano ulioafikiwa na madaktari hauwezi kuteketezwa jinsi ulivyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories