Mgomo wa madaktari waingia siku ya 50

Muungano wa madaktari kmpdu sasa unawataka waziri wa afya dkt. Cleopha Mailu na katibu wake Dkt Nicholus Muraguri kujiuzulu kwa kushindwa kumaliza mgomo huo na badala yake kuzozana wao kwa wao.

Maafisa wa muungano huo wamekariri kuwa hawaogopi kutiwa gerezani huku makataa ya mahakama kwao kumaliza mgomo au kufungwa yakitarajiwa kukamilika al hamisi hii.

.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories