Mgomo Wa Wauguzi

Mgomo Wa Wauguzi

Wauguzi 600 katika kaunti ya Mombasa wamekaidi amri iliyotolewa kurudi kazini. Huku kaunti ya Mombasa ikifika mahakamani kuhusu mgomo huo, wauguzi hao sasa wanataka serikali kuu kuingilia kati na kutatua mzozo huo. Gavana wa Mombasa Hassan joso ametoa amri mpya kwa wauguzi hao kurudi kazini kesho la sivyo kupoteza nafasi zao za kazi ambazo tayari zimetangazwa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories