Mgomo wa wauguzi waendelea kwa zaidi ya miezi minne
Published on: October 19, 2017 08:07 (EAT)
Miezi minne baada ya wauguzi kuanza mgomo wao wanadai kupuuzwa na waziri wa afya na hata baraza la gavana katika utekelezaji wa matakwa yao. Kufikia sasa ni watoto wengi waliokosa chanjo zao na kuwalazimu kina mama kujifungulia nyumbani kutokana na hali hii.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment