Mgomo wa wauguzi waingia siku ya 100


Matumaini ya kusitisha mgomo wa wauguzi ambao umefikisha siku 100 sasa yamegonga mwamba. Hii ni baada ya muungano wa wauguzi nchini kukariri kwamba wanachama wake hawatorudi kazini hadi pale mkataba wa maelewano baina yao na serikali utakapotekelezwa.
Hata hivyo hali katika hospitli za umma inazidi kuwa mbaya kama anavyotueleza Kadzo Gunga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author