Mgomo wa Wauguzi waingia siku ya 99


Huduma za afya nchini zitaendelea kutatitizika kwa muda baada ya wito mpya uliotolewa hii leo na maafisa wa muungano wa wauguzi nchini. Maafisa hao wametangaza kwamba juhudi zao zitapigwa jeki na wahudumu wote wa afya kwanzia Ijumaa wiki hii.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Apologise to CJ Maraga, Kisii leaders tell Raphael Tuju

Story By Makori Ongechi
More by this author